[rev_slider alias=”home2″]
Karibu!
Tunashukuru sana kwa nafasi ya kumtumikia Mungu katika kanisa hili zuri. Tangu tulipokuja hapa miaka 30 iliyopita, maisha yetu yamebadilishwa kwa njia ambazo hatuwezi kufikiria. Hii ndiyo Imani letu kwa kila mtu anayejiunga na kanisa letu – iwe kwa kuwepo hapa au kwa njia ya mtandao kuyasikiliza na kuyatenda mafundisho ya neno la Mungu kwa moyo wote, hakika utabadilishwa na kwamba maisha yako yataboreshwa kwani Mungu tunaemtumikia sio dhalimu
Tunakuhimiza utumie fursa zote ambazo sayunieagtchurch inatoa, kupitia mafundisho yenye msingi wa Bibilia (Neno la Mungu) na ufunuo wa Roho matakatifu kama nyezo ya kukuwezesha kutumia vipawa na talanta zako kumtumikia Mungu na watu wengine.
Daima tunashangazwa na ushuhuda usio na kifani wa mafanikio, uponyaji na urejesho ambao tunaushuhudia kutoka kwa watu waliounganishwa na huduma hii. Ni maombi yetu kwamba shuhuda hizi siku moja ziwe halisi kwako na wewe uwe sehemu ya kuyataja matendo makuu ya Mungu kwa wengine.
Mchungaji Kiongozi
Askofu Dr Leonard Majura Mwizarubi & Mama Dr Amesarion L Mwizarubi.
Kuhusu EAGT SAYUNI
Ratiba
Ratiba ya Ibada
[wpdatatable id=1]
Jifunze Biblia
Masomo
Basi Kumbuka Ni Wapi Ulikoanguka Ukatubu
Faida Ya Tano Ya Kufa Na Kisha Kufufuka Kwa Bwana Wetu Yesu
Imani Bila Matendo Imekufa July 2022
Imani Ndio Ufunguo Maalum 2022